Content on this page requires a newer version of Adobe Flash Player.

Get Adobe Flash player

 
National Agriculture Policy - 2013
FTanzania CSA Program 2015-2025
FProposed SAGCOT Investment Project
FAnnual Report for Financial Year 2014-15
Press Release
Funding Opportunity
ERPP ESMF
FMAFC Annual Report 2012-13
FSAGCOT Documents
Kilimo Miaka 50 ya Uhuru
The Web Kilimo web
In The News Room

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUWATUMIA WAHITIMU WA VYUO VYA KILIMO WALIOSOMA KOZI MAALUM: Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi inautangazaia umma kuwa wahitimu mahiri 10,629 waliofuzu Vyuo vya Kilimo vya Inyala, Mtwara, Horti Tengeru, Igurusi, Katrin, Ukiriguru, Maruku, Uyole, KTC Moshi, Mlingano, Tumbi, Ilonga, NSI Kidatu na Mubondo, wanaweza wakatumiwa kwa lengo la kuongeza uzalishaji na tija katika kilimo. Soma habari zaidi

Waziri Nchemba atoa wito kwa wakulima wa mihogo kuchangamkia fursa ya kuzalisha zao hilo kwani soko lipo ndani na je ya nchi: Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba alitoa wito huo kwa Wakulima waktia wa mazungumzo ya kikazi na Balozi wa Ubeligiji nchini Mheshimiwa Paul Cartier wakati alipomtembelea ili kujitambulisha na kumpongeza. Waziri Nchemba alisema lengo la Serikali ya Awamu ya Tano ni kuongeza uzalishaji wa mazao ya kilimo na mkazo umewekwa kuongeza uzalishaji na uongezaji wa thamani mazao ya kilimo. Soma habari zaidi

"TAFUTENI MAJAWABU YA KERO ZA WANANCHI" : Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa Mwigulu Lameck Nchemba amewataka wafanyakazi wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi, kutumia muda wao kuhangaikia kutafuta majawabu ya matatizo ya wananchi. Aliyasema hayo wakati anaongea na Wakuu wa Idara za kilimo, mifugo na Uvuvi mara baada ya kuwasili Wizarani hapo kufuatia alipoteuliwa kuiongoza Wizara hiyo. Soma habari zaidi

Waziri na†Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza Baraza jipya la Mawaziri ambalo lina jumla ya Mawaziri 19 na Naibu Waziri 15. Katika Baraza hilo jipya la Serikali ya Awamu ya Tano lililotangazwa, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) amekuwa Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, wakati Naibu Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi, ni Mhe. William Tate Ole Nasha (Mb). Soma habari zaidi

Dear valued customer: This website is undergoing reorganization following changes in the Government Ministries announced recently by the President of the Fifth Phase Government of the United Republic of Tanzania, Honourable Dr. John Pombe Joseph Magufuli.†The changes will include the amalgamation of the former two Ministries of Agriculture Food Security and Cooperative; and Livestock and Fisheries Development which has now become the Ministry of Agriculture Livestock and Fisheries. ......Read More

Serikali Yaongeza Idadi ya Maafisa Ugani: Mkurugenzi wa Idara ya Mafunzo, Wizara Kilimo Chakula na Ushirika Bibi Anne Assenga amesema katika msimu wa kilimo wa 2014/2015 Serikali imefanikiwa kuongeza idadi ya Maafisa Ugani na kufikia 11,073 walioajiriwa ikilinganishwa na lengo la kufikia Maafisa Ugani 15,082 ifikapo mwaka 2020. ........Soma habari zaidi
Makampuni ya Pembejeo Fikisheni Pembejeo Haraka kwa Wakulima: Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Bibi Sophia Kaduma ameyahimiza Makampuni yanazoshiriki kusambaza pembejeo kwa wakulima kwa kutumia mfumo wa vocha katika msimu wa kilimo wa 2015/2016, kupeleka haraka pembejeo kwa wakulima.... .......Soma habari zaidi
Katibu Mkuu aipongeza Benki ya Dunia kwa Kusaidia Mradi wa EAAPP: Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Bibi Sophia Kaduma hivi karibuni aliwashukuru Wajumbe kutoka Benki ya Dunia kwa namna ambavyo Taasisi hiyo kubwa ya fedha Duniani, ilivyofadhiri na kufanikisha mradi wa EAAPP ambao, awamu ya kwanza itakamilika, 31 Desemba, 2015. .......Soma habari zaidi
Photo Gallery

Importation of biological control agents in Tanzania  
   
Farm Machinery Catalogue Form  
Habari nyinginezo Tanzania Climate Smart Agriculture Program 2015 - 2025
Programes, Projects and other web pages
         
Speeches| Publications | Agricultural Statistics | Legislation and Regulations | About us|Contact us
Copyright 2008, Ministry of Agriculture Food Security and Cooperatives All rights reserved.